
Wiz Khalifa amekamatwa huko LAX na kulalamika kuwa kosa lake ilikuwa ni kukataa kushuka kwenye 'Hoverboard' yake.
Wiz amepost picha kwenye account yaje ya twitter usiku wa Jumamosi yenye caption isemayo
"They love saying stop resisting.".

Rapper huyu pia amesepost video kwenye account yake ya Instagram ikimuonyesha jinsi polisi walivyokuwa wakimkamata baada ya kugoma kushuka kwenye 'Hoverboard' nakusema
"All because I wouldn't ditch the technology everyone will be using in the next 6 months."