Waziri Mkuu Mstaafu

Waziri Mkuu Mstaafu


Frederick Sumaye
ametangaza rasmi kujiondoa katika chama tawala chaCCM
na kujiunga naCHADEMA/UKAWA.

Waziri Mkuu Mstaafu
Frederick Sumaye
ametangaza rasmi kujiondoa katika chama tawala chaCCM
na kujiunga naCHADEMA/UKAWA
— Mtaki Gamba. (@MtakiGamba) August 22, 2015Sumaye
ametoa kauli hiyo muda si mrefu Jijini Dar es Salaam na anakuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa pili kujiunga naChadema/Ukawa
baada yaMhe. Edward Lowassa
kufanya hivyo.
