‘Ojuelegba’ yake Wizkid yafanya poa nchini Marekani baada ya mastaa wengi kuonekana kuupenda

CHAMEBOY MEDIA
By -
0
WIMBO wa msanii kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ wa ‘Ojuelegba’, umeonekana kuzidi kufanya vizuri nchini Marekani kutokana na mastaa mbalimbali barani Ulaya kuweka wazi kuupenda wimbo huo.
Wasanii walioonyesha kuvutiwa na wimbo huo ni Drake, Alicia Keys, mpenzi wake Swizz Beatz pamoja na mpenzi wa msanii wa hip hop nchini humo, Tygar, Kylie Jenner ambaye ameweka video ya wimbo huo kwenye akaunti yake ya Instagram.
Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!