
Jokate ambaye anadaiwa kuwa mpenzi wa Alikiba aliweka picha Instagram akiwa na Ice Prince na kuandika
“Forever My G. Ma Nig Fly Boi Choc Boi @iceprincezamani Leo Leo Video Loading. But First I Asked Him To Record With Ali Like Toninite. He’s Like Lets Do This. lol. #Tanzania#Nigeria#Afrika#Kidoti”
Jokate amewahi kufanya kipindi na Ice Prince “Top 10 Most” cha Channel 0 na pia amemshirikisha kwenye track yake “LeoLeo” ambayo pia ameahidi kuwa video itatoka hivi karibuni.