
Mkali wa wimbo wa ‘Nana’ Diamond Platnumz amechaguliwa kwenye Tuzo zingine za Nigeria, zinaitwa “African Youth Choice Awards” AYCA2015.
Nassib Abdul au Diamond anawania vipengele viwili ambavyo ni
YOUTH CHOICE Artiste Of The Year:
wizkid – Nigeria
Davido – Nigeria
Yemi Alade – Nigeria
Sarkodie – Ghana
Aka – South Africa
Eddy Kenzo – Uganda
Diamond Platnumz – Tanzania
YOUTH CHOICE Best Male:
Aka – South Africa
Olamide – Nigeria
Stoneboy – Ghana
Skales – Nigeria
Diamond Platnumz – Tanzania
Patoranking – Nigeria