Chris Brown ametangaza kuiita album yake mpya jina la binti wake 'Royalty'

CHAMEBOY MEDIA
By -
0

Chris Brown anajipendelea mwenyewe kwenye album yake inayokuja. Katikati ya tarehe ya tour yake 'One Hell of a Nite', ametangaza jina la ulbum yake 'Royality' baada ya miezi 15 ya binti wake.

Kwanzi habari zivuje kuwa ana mtoto na model ajulikanaye kwa jina la Nia Guzman, Brown amekuwa akitumia panda daraja la kuwa mtawala kama baba mlezi kwenye maisha yake.
@chrisbrown
ametangaza kuiita album yake mpya 'Royality'— Mtaki Gamba. (@MtakiGamba) August 22, 2015 Kwenye moja ya mahojiano alisema kuwa anaamini kuwa ni baraka kwa yeye kuwa na mtoto “I think this was just a blessing in disguise with my daughter because I get a chance to look at her and teach her the right path and also be a father in my daughter’s life," akieleza kuwa anafurahi kuona furaha ya mtoto wake usoni,

“Just to see a smile on her face—just to see the littlest things—is emotional for me, so I just love that aspect of being able to be a father now.”.

Japo kuwa haijajulikana tarehe halisi ya kutoka kwa album hiyo ambayo itatoka baada ya album ya 'X' aliyo iachilia mwaka 2014.
Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!