Awafundisha watoto ngono, Ni baada ya yeye kuchezewa kingono akiwa mdogo na mjomba wake

CHAMEBOY MEDIA
By -
0
Anaanza kuadithia kuwa akiwa na miaka saba aliachwa akiwa na mjomba wake, Mjomba wake alianza kumshika shika ki ngono kwa miaka miwili.

Wakati yupo na mjomba wake alijua Mjomba wake angemsaidia elimu lakini aliishia kingono. Ndipo akaamua kuanzisha kitabu na elimu kwa watoto juu ya ngono ili wajue madhara ya udhalilishaji wa kingono.

Hivyo ameamua kuanzisha kitabu hicho cha ngono, Na watu wajue kuwa madhara ya unyanyasaji wa kingono ulivyo mbaya.
-BBC

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!